Dume classic ni kondom yenye ubora wa hali juu kwa ajili ya Mwanaume wa kweli.

Kondom ya kwanza Tanzania yenye mikunjo na vinundu kwenye kondom moja! Pia ina manukato mwanana ya nanaa (yaani mint)

Ongeza Mzuka katika maisha yako na kondom mpya yenye rangi ya pinki na manukato mazuri ya stwarberry.